Header Ads

[Live Show] Wizzy Rapper x Country Boy x Afande Sele katika Uzinduzi wa Jahazi Dermon Moro


Ni Jumamosi hii hapa ya Tarehe 28 May katika Uzinduzi wa Garden Mpya kabisa inayoitwa Jahazi Dermon Garden inayofunguliwa Morogoro Town.
Wasanii watakaopanda jukwaani ktk hiyo Event ni Country Boy aka Gaddafi, Wizzy Rapper aka Mad Dog, Afande Sele Mfalme wa Rhymes na wasanii wengine wengi na utapita getini kwa 5k Normal na 7k kwa VIP's.
Bila kusahau Wizzy Rapper atakua anatambulisha Video yake mpya kabisa
Hii si ya kuikosa njoo ukutane na wajanja wenzako...!Download Andoid Application Ya DJ Mtes Ili upate Update Zote bila kuingia ktk Blog
Bofya hapa Chini
Click

 http://goo.gl/ZcTZsT

Pata Habari Na Nyimbo mpya moja kwa Moja kupitia Mitandao ya Kijamii
Facebook Fan Page: DJ Mtes Music
Twitter: @iamdjmtes
Instagram: @iamdjmtes