Header Ads

[Comedy] Gari Yangu (Episode 1)

Gari Yangu ni mkasa mpya unaoletwa kwako kupitia "Vicheko Time" usiache kufuatilia mkasa huu ili ujue nini kimetokea ktk gari ya Maufundi ambae anawakatalia rafiki zake kupanda, tuew pamoja, pia usiache kuwaambia wengine kuwa "Kama kucheka kunaongeza siku za kuishi basi Vicheko Time itakufanya uishi milele".


Pata Habari Na Nyimbo mpya moja kwa Moja kupitia Mitandao ya Kijamii
Facebook Fan Page: DJ Mtes Music
Twitter: @iamdjmtes
Instagram: @iamdjmtes

No comments