Header Ads

[New Audio] Brown Punch - #Mola

Mkali mwingine wa Rn'B kutoka Morogoro huyu hapa
Ametudondoshea Brand new Track inayoitwa #Mola. 
Jamaa anaitwa BROWN PUNCH na track imeandaliwa na Beat Killer
Prod. MUCHMORE kutoka pale studio za Pure Records.
Amini nakwambia huwezi jutia kuipakua nyimbo hii...!
Isikilize na kuipakua hapo chini

 https://www.mynotjustok.com/track/download/id/123322
Pata Habari Na Nyimbo mpya moja kwa Moja kupitia Mitandao ya Kijamii
Facebook Fan Page: DJ Mtes Music
Twitter: @iamdjmtes
Instagram: @iamdjmtes