Header Ads

Davido - Gbagbe Oshi | Download

Msanii kutoka Nigeria David Adeleke aka DAVIDO
Baada ya Kuonyesha rasmi Cover yake ya Album mpya iitwayo SON OF MERCY
ambayo itatoka October 21st sasa unaweza kuweka oda yako iTunes ili uwe
miongoni mwa watu wa mwanzo kuipata Album hiyo iliyowashirikisha
Rapper kutoka Afrika Kusini NASTY C na mwanadada kutoka
US. TINASHE
Ipakue hapa Nyimbo yake mpya inayoitwa GBAGBE OSHIPata Habari Na Nyimbo mpya moja kwa Moja kupitia Mitandao ya Kijamii
Facebook Fan Page: DJ Mtes Music
Twitter: @iamdjmtes
Instagram: @iamdjmtes