Header Ads

Wizzy Rapper Ft. Stamina x Country Boy x Joh Maker - My Time (Official Video) | Watch/Download

Mkali wa Hip Hop Kutoka Morogoro Wizzy Rapper aka Mad Dog
ameachia Rasmi Video ya Wimbo wake Mpya
Inayoitwa MY TIME huku akiwashirikisha wakali wa midundo hiyo
Stamina x Country Boy na Joh Maker. Audio Produced by Rash Don wa Kiri Rec.
na Video imeongozwa na Minzi Mimms.
Chukua Time yako kuitazama na kuipakua pia...!
Pata Habari Na Nyimbo mpya moja kwa Moja kupitia Mitandao ya Kijamii
WhatsApp Group +255713218555
Facebook Fan Page: DJ Mtes Music
Twitter: @iamdjmtes
Instagram: @iamdjmtes