Header Ads

Harmonize - Niambie (Lyrics) | Learn/Sing

VERSE 1
Mujini Kipenzi, Silani Shilingi baby
Kupendana zamani ndo wanavyosemaga
Wazuri ni wengi , ila uongo mwingi baby
Wakishaviona vya ndani basi wanakumwaga
Ndo maana Ukichelewa dukani, mie kamoyo kananidundaga
Nawaza asije mangi jirani, akakuonga kilo ya unga aah

PRE CHORUS
oooh Mbaya zaidi sina kazi, nakosa senti tano ya kipande
Bora nikuweke wazi, yanini nikufiche Gambe
Tumeumbiwa shida maradhi, ndo chanzo mpaka wengi wadande 
Niweke wazi nikipi kinafanya Unipende

CHORUS

Niambie , Tell me baby love,oooh Basi niambie

Vipi unanipenda ingali sina doo , Usije nitenda ukaniumiza Roho

VERSE 2
Siku hizi magari ya wakongo, mapesa mara nyumba mbezi
Usinichanganye na ubongo nidate kisa mapenzi
Sijakuwekea Ndumba, umenipendea rhumba
Vipi nikija Tunda oooooh oooh
Usije mgezea Punda, ukaniachia Ngunga
Wanakumendea Chunga oooh oooh 

PRE CHORUS
Mbaya zaidi sina kazi, nakosa senti tano ya kipande
Bora nikuweke wazi, yanini nikufiche Gambe
Tumeumbiwa shida maradhi, ndo chanzo mpaka wengi wadande 
Niweke wazi nikipi kinafanya Unipende

CHORUS
Niambie , Tell me baby love,oooh Basi niambie
Vipi unanipenda ingali sina doo , Usije nitenda ukaniumiza Roho
Umenipendea....  kipi mama,(basi sema  )  Umenipendea ingali sina Doo.

Pata Habari Na Nyimbo mpya moja kwa Moja kupitia Mitandao ya Kijamii
Android APK Click Here
WhatsApp Group Click Here
Facebook Fan Page: DJ Mtes Music

Twitter: @iamdjmtes
Instagram: @iamdjmtes

No comments