Header Ads

Tanzia || Rest In Peace ''SETH KATENDE a.k.a Bikira Wa Kisukuma''

Kutoka katika Blog yako pendwa ya burudani kote Tanzania tunapenda kutoa pole kwa familia,Jamaa na Wafanyakazi wenzie wa marehemu SETH KATENDE aliye kuwa mtangazaji wa EFM RADIO aliyekuwa alitangaza kipindi cha UBAONI poleni sana kwa  msiba mlio hupata MUNGU awatie Nguvu katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo.


Hizi ni baadhi ya picha za enzi ya uhai wake .


BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.
"AMEN"

No comments