Audio | Roma - Zimbabwe (Prod. by Bin Laden) | Download Fast
Hayo ni baadhi ya Mashairi yaliyomo ktk wimbo mpya kabisa
ZIMBABWE Roma aka Baba Ivan ambao ndani yake
ameelezea mkasa mzima wa yeye na wenzake walivyotekwa na nini kilitokea huko
huku akiimba anakwenda Zimbabwe. Wimbo umetayarishwa na Bin Laden na Geof Master, Usikilize na kuupakua pia...!
Twitter: @iamdjmtes @kendrickludwin
Instagram: @iamdjmtes @kendrickludwin
Post a Comment