Video | Ibrahnation - Naamini (HD) | Watch/Download
Muda mwingine unapojitoa kimapenzi na kuweka imani kwa mtu unaempenda na
kumuonyesha unampenda kinachotokea maranyingi ni dharau na maumivu
Makali kwako, ila amini moyo wako, kwani kama ameumbwa kwaajili yako
hawezi kwenda kwingine vumilia amini, Mimi BADO NAAMINI ninaempenda hata
azunguke vipi ila bado ni wangu...
Twitter: @iamdjmtes @kendrickludwin
Instagram: @iamdjmtes @kendrickludwin
Post a Comment