Header Ads

DJ Mtes | Kupandisha Quality ya Video kwenye Website | LearnHello habari, DJ Mtes Music imeamua rasmi kupandisha Quality ya Videos zote zitakazo panda ktk Website hii Kutokana na Watembeaji wengi wa Page hii kuomba kupandishiwa Quality za 
Video.
Mwanzo tulikua tunapandisha kwa 720p na Sasa tumeongeza hadi 1080p kwa ajili ya kupata Picha angavu zaidi. Asante.
From DJ Mtes Music C.E.O
For More Cheq +255713218555


No comments