Video | Dogo Janja - Yente | Watch/Download
"YENTE" nistory inayohusu Demu wangu alikuwa anaaombiwa na watu kuwa
mwana ni miyeyusho, mwana hanakitu na mshikaji hukuzimii kabisa. Lakini
nikamwambia Demu kuwa usiwasikilize hao wanakudanganya mbona mambo ni
"YENTE" tu
Post a Comment