Header Ads

Audio | Mimi Mars - Ex (Prod. by Bear) | Download Fast

Mwanamuziki kutoka Music Lebel ya Mdee Music Mimi Mars ameachia wimbo wake mpya unaoitwa Ex. Mimi Mars ni mdogo wa damu wa Vanessa Mdee ambaye ndiye anasimamia kazi zake za muziki. Wimbo umetayarishwa na Bear wa Kiri Records. Pakua kwa link chini hapo kisha enjoy, usisahau kutuachia Comments zako hapa au WhatsApp ya DJ Mtes +255713218555.

 https://cloudup.com/files/iDXwLi2EUP4/download

No comments