Header Ads

Audio | Mjukuu Ft. Sendwa - Sina Gari (Prod. by Mega Sound) | Download Fast


Mwanamuziki chipukizi kutoka Chemba Squad anayefahamika kwa jina la Mjukuu wa Chemba ameachia wimbo wake mpya kama Bonus unaoitwa SINA GARI, kama kawaida DJ Mtes Music inakusogezea karibu kuusikiliza na kuupakua pia.
Wimbo umetayarishwa ktk studio za Mega Sound Studio.
Pakua kwa link chini hapo kisha enjoy, usisahau kutuachia Comments zako hapa au WhatsApp ya DJ Mtes +255713218555.

 https://cloudup.com/files/iKwV4l0fxKE/download

No comments