Header Ads

News | Basi Lagonga Treni na kusababisha Wanafunzi kufariki na Majeruhi MorogoroLeo August 24. 2017 majira ya Asubuh saa 1 asubuhi moja mjini Morogoro
Imetokea ajali gari ya abiria yenye namba T. 438 ABR likiwa limebeba Wanafunzi wa
Sekondari imeligonga Treni na kusababisha Majeruhi na Watu Kufariki.
Kaa karibu na djmtes.com tutakupatia habari kamili kuhusu idadi ya waliofariki na
Majeruhi.
Nimekuwekea hapa baadhi ya Picha za tukio jilo.
Mungu azilaze mahala pema peponi Roho za Marehemu.


Be Notified Exclusively Through My Social Networks
Android App Click Here
WhatsApp Group Click Here
Facebook Fan Page: DJ Mtes Music
Instagram: @iamdjmtes  @kendrickludwin

No comments