Header Ads

DJ Mtes TV | T. Sigwa - Mimi ndiye King wa Muziki MorogoroMwanamuziki wa kizazi Kipya kutoka Morogoro T. Sigwa anayetamba
na wimbo wake wa NYOTA NDOGO ameifungukia DJ Mtes TV juu ya yeye
kuwa King wa Muziki huo kwa Sasa mkoani Humo!
T. Sigwa akizungumza na Shanice Tz wa DJ Mtes Tv ameyasema hayo wazi
na kuahidi wasubiri kazi yake inayokuja hivi Karibuni.
Be Notified Exclusively Through My Social Networks
Android App Click Here
WhatsApp Group Click Here
Facebook Fan Page: DJ Mtes Music
Instagram: @iamdjmtes  @kendrickludwin

No comments