Header Ads

DJ Mtes TV | Nancy E. Matta, Miss Tallent Morogoro 2017 apata donge Nono kutoka Mkwawa
Nancy E Matta [Miss Morogoro Talent 2017] jana jioni katika ukumbi wa Savoy akizungumza na DJ Mtes TV  alisema.
“ Lengo langu kuu ni kumuunga mkono MH: Rais @john_pombe_magufuli katika kaulimbiu yake ya TANZANIA YA VIWANDA kwa kuanza kutoa elimu ya VIWANDA NA MAZINGIRA kuhakikisha inawafikia wana nchi wote ndani na nje ya TANZANIA na utafiti wake utaanzia kwa kuzunguka mashuleni na Viwandani kuhimiza utunzaji wa Mazingira” kwakuzingatia makazi yote yaliyo karibu na viwanda alisema Nancy.
No comments