Header Ads

Audio | Jonsia - No Doubt (Prod.by Mbudu The Boss) | Download Fast


Jonsia ni mwimbaji wa muziki wa injili wa muda mrefu. Yeye ndiye mshindi wa kwanza na wa pekee wa mashindano ya GOSPEL STAR SEARCH ya Clouds FM ambayo yalifanyika mara moja tu.
"No doubt" ni wimbo wake wa kwanza rasmi. Wimbo unaonesha imani ya mtu kwa Mungu wake isiyotazama majaribu na magumu anayoyapitia.

 https://goo.gl/hGaASr

No comments