Header Ads

Audio | Mr Nana - Tanga ya Leo (Prod. by Waleo) | Download Fast


Kuna mambo mengi yalikuwepo Tanga sasa hivi hayapo wewe kama mpenzi wa Tanga mwenyeji au umeshawahi kutembelea unakumbuka nini kilikuvutia enzi hizo Tanga na kwa sasa hakipo ungetamani kiwepo
Mimi nimemisi marehemu MR EBO nimemisi WAGOSI WA KAYA nimemisi nyimbo kali kama Awena ya @kassimmganga SI ULINIKATAA @qchief VAILETI @matonyambili
Wewe umemisi nini? Unatamani nini kurudi?

 https://goo.gl/FrcuZS

No comments