Header Ads

Audio | Rayvanny Ft Mayorkun - GimiDat (Prod. by Abbah) | Download FastMwanamuziki kutoka Music Lebel ya WCB Rayvanny (Vanny Boy) ametuletea hii mpya kabisa inayoitwa #GIMIDAT akimshirikisha msanii kutoka Davido Music Worldwide (DMW) ya Davido Adeleke anayeitwa Mayorkun. Wimbo umetayarishwa na Abbah huku ukikamilishwa mixing na MixKiller. 
Pakua kwa link chini hapo kisha enjoy, usisahau kutuachia Comments zako hapa au WhatsApp ya DJ Mtes +255713218555.

 https://cloudup.com/files/iAEAl2zH_j2/download

No comments