Header Ads

Video | Chemical - Najisikia | Watch/DownloadMwanadada machachari ktk muziki wa Hip Hop Chemical ametuletea hii video ya wimbo wake  mpya unaoitwa NAJISIKIA. Video imeongozwa na Noster na imefanyika jijini Dar es Salaam.
Pakua kwa link chini hapo kisha enjoy, usisahau kutuachia Comments zako hapa au WhatsApp ya DJ Mtes +255713218555.
 https://cloudup.com/files/iF3MxdRP7Ww/download

No comments